News

Shabiki wa Yanga ambaye amejitambulisha kwa jina la Malik amesema kwamba amesafiri kutoka Shinyanga kwa ajili ya kuwashuhudia ...
BAADA ya ndoto za Azam kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu kuota mbawa, kocha Rachid Taoussi kwa sasa amehamishia nguvu ...
KIUNGO wa Tanzania Prisons, Haruna Chanongo amesema wana dakika 270 ngumu za maamuzi ya timu hiyo kusalia Ligi Kuu au la, ...
Mashabiki wa Simba ambao wamesafiri kutoka sehemu mbalimbali za Tanzania wanaamini kuwa timu yao itaimaliza vizuri mechi ya ...
MSHAMBULIAJI wa KMC, Daruweshi Saliboko amesema anaupenda aina ya uchezaji wa straika wa Simba, Steven Mukwala kutokana na ...
UUMEONA jinsi juzi mitandao ya kijamii ilivyochafuliwa na harusi ya Jux iliyofanyika huko Nigeria? Sio Instagram, Tiktok, X ...
YANGA ipo safarini kuifuata Fountain Gate kwa mchezo wa Ligi Kuu Bara inayopigwa Jumatatu, huku taarifa mbaya kwa mashabiki ...
Uongozi wa Tabora United jana usiku, Aprili 18, 2025 umetangaza kuachana na kocha Genesis Mangombe kutoka Zimbabwe kutokana ...
Kocha wa Stellenbosch FC, Steve Barker, amesema Simba SC ni moja ya timu hatari zaidi kwenye mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika, akisisitiza kuwa ubora wa Wekundu wa Msimbazi hauishii ...
SIKU chache baada ya mshambuliaji Yusuph Athuman kutambulishwa na Yangon United ya Ligi Kuu Myanmar, uongozi wa Fountain Gate imeibuka na kuweka wazi kuwa bado ni mchezaji wao halali.
Aliyekuwa mwigizaji wa Filamu nchini marehemu Hawa Hussein (Carina), amezikwa leo Aprili 19,2025 katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Mratibu wa zamani wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga amefariki dunia leo Apili 19,2025 katika Hospitali ya Itengule iliyopo Tegeta jijini Dar es Salaam.