Licha ya kukaa miaka zaidi ya minane bila kutoa kazi mpya, bado nyimbo za Shaa zilizompatia umaarufu zinaendelea ...
LAZIMA tukubali kwamba sio kila mwanamuziki anayefanya vizuri au mwenye nguvu ya ushawishi anaweza kuisimamia rekodi lebo na ...
MASHABIKI wa Yanga wana kiu ya kumwona nyota mpya wa timu hiyo, Jonathan Ikangalombo ‘Ikanga Speed’ aliyesajiliwa dirisha ...
KUWENI makini! Ndivyo unavyoweza kusema kwa timu pinzani pale zinaposhuka uwanjani kucheza na Simba, kwani zikijichanganya kidogo tu zijue mapema inakula kwao mapema.
Imekuwa ni mazoea watu wanaoana huwa na siku 7 za kukaa fungate kwa ajili ya kusherehekea kutimiza ibada hiyo ya ndoa, lakini ...
Simba iliwahi kucheza fainali za Kombe la CAF mwaka 1993, michuano ambayo kwa sasa haipo tena baada ya kuunganishwa na ile ya ...
SARE ya bao 1-1 iliyopata Tanzania Prisons dhidi ya Tabora jioni hii kwenye Uwanja wa Sokoine, jijini hapa, imeonekana ...
SOKA limeandikisha idadi kubwa ya wachezaji na makocha wenye utajiri mkubwa katika kipindi cha muongo wa karibuni. Siku hizi, ...
AMSTERDAM, UHOLANZI: ROBIN van Persie amefikia makubaliano ya kuwa kocha mpya wa Feyenoord. Mdachi huyo alianza kazi yake ya ukocha kwenye klabu ya Rotterdam na sasa atarejea mzigoni baada ya kukubali ...
MAMBO ni moto kwa vijana wawekezaji kwenye soka la Ulaya wikiendi hii, kutokana na kupigwa mechi matata kabisa katika mikikimikiki ya Ligi Kuu.
KUMEKUCHA. Manchester United na Tottenham Hotspur zimeshafahamu njia zitakazopita katika kufukuzia ubingwa wa Europa League ...
ARSENAL, Liverpool na Aston Villa zimeshafahamu wapinzani gani watakutana nao kwenye raundi ya 16 bora ya mtoano kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya upangaji wa droo iliyofanyika Ijumaa.